1 Kings 18:17-18

17 aAhabu alipomwona Ilya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”

18 bIlya akamjibu, “Mimi sijaitaabisha Israeli. Lakini wewe na jamaa ya baba yako ndio mnaofanya hivyo. Mmeziacha amri za Bwana na mkafuata Mabaali.
Copyright information for SwhKC